top of page

Maono

Tunashirikiana kutoa elimu bure kwa watoto, vijana na watu wazima. Maono yetu ni kuwasaidia wote kukuza vipaji vyao kama vile ujasiri, tumaini, na nguvu, kwa ajili ya malengo yao, ile waweze kuwa viongozi kwa jamii na kukabiliana na changamoto za maisha ya baadaye. 

bottom of page